Contact

company

Nairobi Office

EXEDY - MAELEZO MAFUPI

Zaidi ya miaka themanini katika uwendeshaji wa viwanda vya motokaa, Exedy ni waanzilishi na viongozi katika utengenezaji wa vifaa vya motokaa katika viwanda vyake ishirini na nne na vitivo sita vya maenezi kote duniani

Wahusika wa Exedy usambaza kwa wanunuzi wao bidhaa za gari kama vile: Klachi aina ya O.E.M vile vile bidhaa zinazo ambatana na aina zote za motokaa zinazotengenezwa na Wajapani kama vile, Toyota, Honda, Nissan, Mitsubishi, Suzuki, Daihatsu, Mazda, Isuzu, Subaru, Hino, Mitsubishi Fuso. Wamerikani na wazungu kama vile: GM, Ford, Mercedes, Peugeot na Volks Wagon. Na watengenezaji wa motokaa Nismo, TRD, RALLIART, STI, MAZDASPEED.

Kutokana na uendeshaji kwa mfumo au ratiba inayotumika viwandani kuendesha mashine labda kwa kutumia nguvu za mwanadamu au uendeshaji bila kuhusisha mtu yeyote. Exedy ina bidhaa tofauti ambazo zimewekwa tayari kwa motokaa ambapo itakuwacha wewe mwenyewe ukiwa umeridhika kikamilifu kila siku.

Kila Kuchao Exedy uendeleza uboreshaji katika utengenezaji wa magari kwa vizazi vijavyo ilehali kuthibitisha uenezi wa aina zote za magari katika kila kitengo kama vile magari ya spoti mfano: Magari ya mashindano ya masafa marefu, Mashindano ya gari kwa mzunguko, mashindano ya gari ambayo hushindana lipi litakalo maliza kwanza kuvuka mstari wa mwisho wa kumaliza na mashindano ya gari kwa kutumia njia zilizoko mijini, 4X4

Main Features of Exedy Clutches :

  • Exedy in klachi bora katika mashidano ya gari kwenye barabara zilizo sambamba ambapo hushindana lipi litakalo maliza kwanza kuvuka mstari wa mwisho
  • Exedy ni klachi nambari moja kwa mashindano ya gari
  • Klachi bora Kwa safari
  • Exedy klachi itakuwezesha kwa upesi sana wakati wa mwanzo ugurumishapo motokaa
  • Klachi bora zaidi wakati wa ubadilishaji wa gea za motokaa
  • Klachi ambayo hurahisisha mwendo wa gari
  • Exedy klachi uboresha kupatikana mwendo wa kasi kwa motokaa
  • Klachi bora zaidi za motokaa aina ya Toyota land cruiser
  • Klachi zenye mujibu mzito kwa motokaa aina ya Nissan patrol
  • Matokeo bora kwa kluchi ya nne kwa nne (4 x 4)

Page Up

  • News
  • Contact
  • Guide
  • privacypolicy
Copyright(C) EXEDY Corporation All Rights Reserved.